MFUMO MAALUM KWA WALIMU

Gawanya Maarifa Yako, Kwa Njia ya Kidigitali.

IAHUB-TANZANIA ni jukwaa la walimu kwa walimu. Walimu wanaweza kupakia notes, video, revision kits na materials nyingine, kisha kushare public kwa walimu wote au private kwa mwalimu/kikundi maalum.

Walimu Pekee View & Download Public au Private Access Comments & Mijadala
Real-time Teacher LibrarySecure Viewing
Fizikia • Notes Utangulizi wa Mechanics (PDF) Notes za mwalimu kwa walimu wengine kuhusu mwendo, nguvu na msukumo.
342 views 18 comments
Video • Chemistry Bonding & Structure Video ya mafunzo kwa walimu.
Private Group NECTA Revision Kit Inashirikishwa kwa walimu wa somo husika.

Chagua nani aone: walimu wote, mwalimu mmoja, au kikundi cha walimu kulingana na subject.

Upload

Mwalimu anaweka notes/video/files.

View

Walimu wanaweza kuona content online.

Download

Download inaruhusiwa kulingana na mpakiaji.

Discuss

Walimu wanatoa maoni na kubadilishana uzoefu.