IAHub Tanzania
Inakuja Hivi Karibuni.
IAHub Tanzania ni mfumo mpya unaoendelea kutengenezwa kwa ajili ya walimu kushirikishana notes, video, revision kits na materials mbalimbali za kufundishia. Mfumo huu bado haujawekwa hewani kwa matumizi ya umma. Ukikamilika, utawekwa hewani rasmi na walimu wataweza kuanza kuutumia.
System development in progress
Modules are being built
Security setup ongoing
Launch coming soon